Dreamstime
#GenerationRestoration

Hatuwezi kurudisha mda nyuma, lakini tunaweza kukuza misitu, kuhuisha vyanzo vya maji, na kurejesha udongo. Sisi ni kizazi ambacho kinaweza kufanya amani na ardhi.

 

Yanayoangaziwa

Orodha ya nyimbo za kucheza ili kumfikishia kila mtu ujumbe kuhusu mazingira.

#GenerationRestoration

Jifahamishe kuhusu jinsi kila mtu anavyoweza kusaidia kuboresha ardhi, kuzuia kuenea kwa majangwa na ukame

#GenerationRestoration

Jiunge na  maadhimisho rasmi ya UNEP mtandaoni ya Siku ya Mazingira Duniani

#GenerationRestoration
Ya Hivi Karibuni
Tazama miaka iliopita

Siku ya Mazingira Duniani mwaka wa 2023 iliangazia masuluhisho ya kukumesha uchafuzi wa plastiki. #KomeshaUchafuziWaPlastiki

#KomeshaUchafuziWaPlastiki

Katika mwaka wa 2022, kaulimbiu ilisisitiza #DuniaMojaTu na umuhimu wa kupatanisha watu na mazingira.

#DUNIAMOJATU

Katika mwaka wa 2021, kaulimbiu ilitoa wito wa kuchukuliwa kwa hatua za kimataifa za dharura za kuhuisha mifumo yetu ya ekolojia iliyoharibiwa. #GenerationRestoration 

#GENERATIONRESTORATION